BBC News, Swahili - Habari
Habari Kuu
Moja kwa moja, Marekani yadungua ndege isiyo na rubani ya Iran
Ndege ya kivita ya F-35C imedungua ndege isiyo na rubani ya Iran "ili kujilinda" na kulinda meli ya kubeba ndege na wafanyakazi wake.
Iran ina nguvu kiasi gani?
Mwanzoni mwa karne ya 20, umuhimu wa Iran uliongezeka kwa kugunduliwa kwa mafuta. Na bila shaka, hapo ndipo matatizo pia yalipoanza.
Je, usingizi unaweza kuhifadhiwa kwa matumizi ya baadaye?
Utafiti mmoja uliofanyika katika hospitali moja nchini Marekani mwaka 2023 ulibaini kuwa watu waliolala kwa dakika 90 za ziada kwa siku, kwa siku tatu kabla ya kuanza zamu za usiku za wiki mbili, walifanya kazi vizuri zaidi wakati wa zamu hizo.
Tetesi za Soka Ulaya Jumatano: Liverpool na Man United zapigana vikumbo kwa Wharton
Liverpool yaungana na Manchester United na Real Madrid kumfukuzia Adam Wharton, Manchester United huenda ikawasajili Jean-Philippe Mateta na Sandro Tonali, na je, mlinda lango wa Leeds Illan Meslier analekea Uturuki?
Ajali 7 kubwa za migodini zilizotikisa Afrika
Ajali za migodi zimeibua hisia miongoni mwa wachambuzi wakitafakari kuwa maendeleo ya Afrika yamejengwa juu ya wachimbaji madini wasio na sauti na vifaa vya kuchimba.
Benki Kuu Kenya yaonya dhidi ya 'mashada ya pesa' ikisema ni matumizi mabaya ya noti
Benki Kuu inasema mtindo huo unaharibu sarafu ya Kenya na kuzifanya kuwa zisizofaa kwa mzunguko.
Jinsi matukio ya kuumwa na nyoka nchini India yanavyoua maelfu ya watu kila mwaka
Mwaka wa 2017, Shirika la Afya Duniani (WHO) liliorodhesha rasmi kuumwa na nyoka au sumu kama "ugonjwa wa kitropiki unaopuuzwa zaidi.
Kwa nini majibu ya Iran dhidi ya shambulio la Marekani yanaweza kuwa tofauti safari hii
"Wamarekani wanapaswa kufahamu kuwa wakianzisha vita, safari hii haitakuwa vita ya kawaida, bali vita ya kikanda," alisema Khamenei, kwa mujibu wa shirika la habari la Tasnim.
Mambo 5 makubwa yaliyofichuliwa kutoka kwenye mamilioni ya faili za Epstein
Ufichuzi huo unakuja wiki sita baada ya Rais Donald Trump, kuamuru kwamba nyaraka zote zinazohusiana na Epstein zitolewe kwa umma.
J-20A: Ndege ya China inayobadili mizani ya nguvu za anga duniani
Wataalamu wa kijeshi wanasema J-20A si maboresho ya kawaida, bali ni mabadiliko makubwa yanayolenga kuifanya China kuwa na nguvu kubwa zaidi ya anga, hasa katika eneo la Asia-Pasifiki.
Sikiza / Tazama
Unataka kupunguza gharama za data?
Soma mtandao wetu wa maandishi kwa gharama ndogo za data.
Gumzo mitandaoni
Nini kitatokea iwapo Marekani itaishambulia Iran?
Marekani inaonekana iko tayari kuishambulia Iran ndani ya siku chache. Ingawa malengo yanayowezekana yanaweza kutabirika kwa kiasi kikubwa, matokeo hayatabiriki.
Sarafu 10 dhaifu zaidi duniani 2026
Dola ya Marekani ndiyo sarafu inayouzwa zaidi duniani hata kama, sio sarafu yenye nguvu zaidi duniani (haki hizo za thamani ya juu kwa sasa zinakwenda kwa sarafu ya Dinari ya Kuwait).
Je, majukwaa ya kijamii yanachochea vipi hasira?
Watu wengi huchangia kutoa maoni na kuchapisha ujumbe licha ya wao kujua kuwa ujumbe huo umetiwa chumvi, muktadha wake sio sahihi, au hata unapotosha.
Kwanini Marekani imebadili msimamo kuhusu mataifa yanayoongozwa kijeshi Afrika Magharibi?
Marekani inaashiria kwamba kurejesha demokrasia sio kipaumbele tena na iko tayari kufanya kazi na Burkina Faso, Mali na Niger.
Je, Marekani inajiandaa kuishambulia tena Iran?
Marekani, yenye jeshi lenye nguvu zaidi duniani, tayari imeshawahi kuonyesha uwezo wake wa kuishambulia Iran. Mnamo Juni mwaka jana, ilitekeleza operesheni iliyopewa jina Operation Midnight Hammer, iliyolenga vituo vya nyuklia vya Iran.
Mwanamke amshikilia mwanamke mwanzake mateka kwa miaka 25
Wixon alimpa mwathiriwa chakula kidogo na hakumruhusu kutoka nje ya nyumba na alilazimika kuoga kwa siri usiku.
'Msitupeleke hospitalini': Waandamanaji wa Iran wanaotibiwa kwa siri wakikwepa kukamatwa
Kiwango kamili cha umwagaji damu uliotokana na ukandamizaji wa vikosi vya usalama dhidi ya maandamano ya kupinga serikali yaliyokumba Iran mwezi huu bado hakijajulikana.
Marekani yapeleka meli kubwa ya kivita mashariki ya kati kuna nini?
Manowari ya kubeba ndege inayotumia nishati ya nyuklia ya Lincoln imekuwa ikihudumu chini ya Jeshi la Wanamaji la Marekani tangu 1989 na ni mojawapo ya meli kubwa na za kisasa zaidi za kubeba ndege katika Jeshi la Wanamaji la Marekani.
Kwanini serikali ya DRC inaikataa ripoti ya Human Rights Watch (HRW)?
DRC imekanusha madai yaliyochapishwa katika ripoti ya Human Rights Watch kuhusu usalama wa eneo la Uvira kwa kusema kuwa madai yao hayakuwa ya kweli, na yamechukuliwa nje ya muktadha wa kisheria na kiusalama.
'Nusu ya marafiki zangu waliuawa' - wasichana wanaorejea katika shule iliyojikuta katikati ya vita
Pacha ambao wanafunzi wenzao waliiuawa katika shabulio la makombora wanasema vifo vyao vimewafanya waazimie kumaliza masomo yao.
Mpasuko wa 'chungwa' ndio kifo cha chama cha Raila Odinga - ODM?
''Chungwa'' ni nembo ya chama cha Orange Democratic Movement nchini Kenya ambalo limekuwepo kwa miongo miwili sasa, na ambalo kwa sasa baadhi ya wafuasi wake na hata wachambuzi wa kisiasa wanasema kwamba huenda likapasuka vibaya.
Maeneo ambayo Marekani ilinunua katika historia yake ili kuunda nchi inayoonekana leo
Donald Trump anataka Greenland iwe sehemu ya Marekani na hata amewahi kupendekeza uwezekano wa kuinunua kutoka kwa Ufalme wa Denmark, ambao kisiwa hicho ni mali yake.
BBC News Swahili sasa ipo WhatsApp
Vipindi vya Redio
Listen Next, Dira Ya Dunia, 18:29, 4 Februari 2026, Muda 1,00,00
Kipindi cha habari, makala na mahojiano cha kila siku kuanzia saa kumi na mbili unusu jioni Afrika Mashariki
Sikiliza, Amka Na BBC, 06:59, 4 Februari 2026, Muda 29,30
Kipindi cha habari, mahojiano na makala kila siku saa kumi na mbili na saa moja asubuhi Afrika Mashariki
Sikiliza, Amka Na BBC, 05:59, 4 Februari 2026, Muda 29,30
Kipindi cha habari, mahojiano na makala kila siku saa kumi na mbili na saa moja asubuhi Afrika Mashariki
Sikiliza, Dira Ya Dunia, 18:29, 3 Februari 2026, Muda 1,00,00
Kipindi cha habari, makala na mahojiano cha kila siku kuanzia saa kumi na mbili unusu jioni Afrika Mashariki
Dira ya Dunia TV
Kipindi cha habari motomoto, kinachowaweka watazamaji karibu zaidi na yanayojiri duniani

























































