Ufafanuzi kutoka Wiktionary, kamusi iliyo huru
desturi
- mazoea
- jambo la kawaida la kutendwa kila siku
- Mila au taratibu zinazofuatwa na jamii kwa muda mrefu na kurithishwa kizazi hadi kizazi
- Mfano:Ni desturi katika jamii nyingi za Kiafrika kuwaheshimu wazee