Nenda kwa yaliyomo

Nicholas Saunderson

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru

Nicholas Saunderson FRS (20 Januari 1682 – 19 Aprili 1739) alikuwa mwanasayansi na mwanahisabati wa Uingereza ambaye alikuwa haoni.[1]

Kwa mujibu wa mwanahistoria mmoja wa takwimu, huenda alikuwa miongoni mwa watu wa kwanza kugundua nadharia ya Bayes.[2]

Alifanya kazi kama Lucasian Professor of Mathematics katika Chuo Kikuu cha Cambridge, nafasi ambayo pia iliwahi kushikiliwa na Isaac Newton, Charles Babbage na Stephen Hawking.

  1. H. F. Baker, Nicholas Saunderson or Sanderson, in Dictionary of National Biography Vol L (London, 1897), pp. 332–333.
  2. Stephen M. Stigler, Who Discovered Bayes's Theorem?, The American Statistician, Vol. 37, No. 4, Part 1 (November 1983), pp. 290–296; collected in Stephen M. Stigler (1999), Statistics on the Table: The History of Statistical Concepts and Methods, pp. 291–301, Harvard University Press ISBN 978-0-674-83601-3 (hbk) ISBN 978-0-674-00979-0 (pbk).
Makala hii kuhusu mtu huyo bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Nicholas Saunderson kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.