Gabrieli wa Bikira Maria wa Mateso
Mandhari

Gabrieli wa Bikira Maria wa Mateso, C.P. (jina la kuzaliwa: Francesco Possenti; Assisi, Umbria, Italia, 1 Machi 1838 – Isola del Gran Sasso, Abruzzo, Italia, 27 Februari 1862) alikuwa kijana aliyependa starehe lakini aliacha yote akawa frateri Mpasionisti ila alifariki mapema kwa kifua kikuu akiwa akoliti tu, kabla hajafikia upadri[1].
Papa Pius X alimtangaza mwenye heri tarehe 31 Mei 1908, na Papa Benedikto XV alimtangaza mtakatifu tarehe 13 Mei 1920.
Tazama pia
[hariri | hariri chanzo]Tanbihi
[hariri | hariri chanzo]Marejeo ya Kiswahili
[hariri | hariri chanzo]- John Kabeya na wengine - Maisha ya Watakatifu – ed. T.M.P. Book Department – Tabora 1965, 1989, uk. 72-73
Viungo vya nje
[hariri | hariri chanzo]- Catholic Encyclopedia article: Blessed Gabriel
- Saint Gabriel Possenti Society at gunsaint.com
- Shrine of St. Gabriel (in Italian)
| Makala hii bado ni mbegu. Je, unajua kitu kuhusu Mkristo huyu, kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake? Je, unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuiongezea habari. |
