1894
Mandhari
Lango la Historia | Lango la Biografia | Karibuni | Orodha ya Miaka
◄ |
Karne ya 18 |
Karne ya 19
| Karne ya 20
| ►
◄ |
Miaka ya 1860 |
Miaka ya 1870 |
Miaka ya 1880 |
Miaka ya 1890
| Miaka ya 1900
| Miaka ya 1910
| Miaka ya 1920
| ►
◄◄ |
◄ |
1890 |
1891 |
1892 |
1893 |
1894
| 1895
| 1896
| 1897
| 1898
| ►
| ►►
Makala hii inahusu mwaka 1894 BK (Baada ya Kristo).
Matukio
[hariri | hariri chanzo]- Buganda inatangazwa kuwa nchi lindwa na Uingereza
Waliozaliwa
[hariri | hariri chanzo]| Kalenda ya Gregori | 2026 MMXXVI |
| Kalenda ya Kiyahudi | 5786 – 5787 |
| Ab urbe condita (Roma ya Kale) | 2779 |
| Kalenda ya Ethiopia | 2018 – 2019 |
| Kalenda ya Kiarmenia | 1475 ԹՎ ՌՆՀԵ |
| Kalenda ya Kiislamu | 1448 – 1449 |
| Kalenda ya Kiajemi | 1404 – 1405 |
| Kalenda za Kihindu | |
| - Vikram Samvat | 2081 – 2082 |
| - Shaka Samvat | 1948 – 1949 |
| - Kali Yuga | 5127 – 5128 |
| Kalenda ya Kichina | 4722 – 4723 乙巳 – 丙午 |
- 8 Januari - Maximilian Kolbe, padre mtakatifu kutoka Polandi
- 17 Machi - Paul Green, mwandishi wa tamthiliya kutoka Marekani
- 17 Aprili - Nikita Krushchov, kiongozi wa Umoja wa Kisovyeti 1953-64
- 13 Juni - Mark Van Doren, mshairi na profesa kutoka Marekani
- 8 Julai - Pyotr Kapitsa (mshindi wa Tuzo ya Nobel ya Fizikia mwaka wa 1978)
- 14 Oktoba - Edward Cummings, mwandishi kutoka Marekani
- 18 Oktoba - Harold L. Davis, mwandishi kutoka Marekani
Waliofariki
[hariri | hariri chanzo]- 21 Aprili - Mtakatifu Konrad wa Parzham, bradha Mfransisko nchini Ujerumani
